STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 22 Oktoba 2015

SARE DHIDI YA MADRID YAMPA KIBURI MENEJA WA PSG.

KUFUATIA Paris Saint-Germain-PSG kupata sare ya bila kufungana na Real Madrid katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya jana, meneja wake Laurent Blanc anaamini kikosi chake kina uwezo wa kupata mafanikio zaidi msimu huu. 
 
Blanc aliingoza PSG kushinda mataji matatu ya ndani msimu uliopita na Blanc bado ana uhakika kikosi chake kina ubora wa kupata mataji zaidi msimu huu. 
 
Kocha huyo amesema siri kubwa ya kuwa na kikosi imara kinacheza kwa umoja ni kutofanya mabadiliko makubwa kwa mwaka jambo ambalo walilifanya ndio maana anaamini wanaweza kufanya vizuri. 
 
Sare hiyo waliyopata jana imezifanya timu hizo kufungana alama katika kundi A kabla ya kuendelea katika mchezo wao marudiano wiki mbili zijazo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox