Ikiwa Arsenal
itashindwa kuvuka kwenda katika hatua ya mtoano itakuwa imeweka rekodi mpya
ya kushindwa kufanya hivyo tangu miaka 15 iliyopita.
Arsenal
imekuwa ikifuzu hivyo mfululizo baada ya kuwa imefeli kuingia hatua ya mtoano
miaka 15 iliyopita.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni