
Willian akishangilia goli lake la faulo dhidi ya Maccabi

Messi akifanya yake baada ya kuchopu mpira uliompita kipa wa As Roma Wojciech Szczesny a kufunga goli la pili dakika ya 18







MATOKEO NA RATIBA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Jana Novemba 24, 2015
Bayern Munich 4-0 Olympiakos
Arsenal 3-0 Dinamo Zagreb
Barcelona 6-1 Roma
Lyon 1-2 KAA Gent
FC Porto 0-2 Dynamo Kyiv
Maccabi Tel Aviv 0-4 Chelsea
Zenit St Petersburg 2-0 Valencia CF
BATE Borisov 1-1 Bayer 04 Leverkusen
Leo Jumatano; Novemba 25, 2015
FC Astana Vs Benfica (Saa 3:45 usiku)
CSKA Moscow Vs VfL Wolfsburg (Saa 1:00 usiku)
Shakhtar Donetsk Vs Real Madrid (Saa 3:45 usiku)
Manchester United Vs PSV (Saa 3:45 usiku)
Malmo FF Vs Paris Saint-Germain (Saa 3:45 usiku)
Juventus Vs Manchester City (Saa 3:45 usiku)
Borussia Monchengladbach Vs Sevilla (Saa 3:45 usiku)
Atletico Madrid Vs Galatasaray (Saa 3:45 usiku)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni