STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 24 Novemba 2015

BREAKING NEWS; WENGER ATOA KAULI HII KWA MASIKITIKO......................


MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger amesema ataipa uzito mkubwa michuano ya Europa League kama waking’olewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
 Arsenal wako wanasuasua katika kundi F wakiwa na alama tatu pekee katika michezo minne waliyocheza na wanatarajiwa kucheza na Dinamo Zagreb baadae leo wakijuwa kuwa wanaweza kutolewa kama wakifungwa. 
 
Nafasi ya tatu katika kundi hilo itawapeleka Arsenal katika Europa League na Wenger amesema hadhani kama kushiriki michuano hiyo kutaathiri dhamira yao ya kupigania taji la Ligi Kuu.
 
 Tokeo la picha la EUROPA LEAGUE
 Akihojiwa Wenger amesema kama kikosi chake kikienguliwa na kwenda kushiriki michuano hiyo ya pili kwa ukubwa barani Ulaya basi hakuna kuwa ataipa uziti unaostahiki.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox