STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 20 Novemba 2015

CORINTHIANS MABINGWA WAPYA BRAZIL.

KLABU ya Corinthians wametawadhwa mabingwa wapya wa Brazil jana baada ya sare ya bao 1-1 waliyopata dhidi ya Vasco da Gama na kusaidiwa na kipigo cha mabao 4-2 walichpata Atletico Mineiro dhidi ya Sao Paulo ambacho kimewafanya kuongoza kwa alama 12 huku zikiw zimesalia mechi tatu. 
 
Corinthians ndio vinara wa mabao katika ligi na safu imara ya ulinzi huku pia wakiwa wameshinda mechi nyingi zaidi na kufungwa chache kuliko timu nyingine yeyote. Klabu hiyo hiyo imenyakuwa taji hilo ambalo ni la sita kwao wakiwa wanaongoza kwa alama 77 wakati Atletico waliokuwa wakifuatia wakiwa na alama 65. 
 
Akihojiwa golikipa wa Corinthians aliwapongeza wachezaji wenzake kwa jinsi walivyojituma na kuongeza kuwa walistahili taji hilo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox