STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 22 Novemba 2015

GIROUD NA HENRY WAKUTANA KATIKA FAINAL YA ATP.............

Novak Djokovic downs Roger Federer in straight sets for ATP World Tour Finals title that
Mchezaji tenisi namba moja Duniani kutoka Serbia, Novak Djokovic amemaliza msimu wake kwa ushindi dhidi ya Roger Federer.
 He's made to work, however, with Federer's trademark precision forcing him to cover the entire court
Ushindi huo umemfanya kuweka rekodi ya taji la nne mfululizo la mashindano ya ATP.
 Djokovic shows his agility as he stretches for a forehand deep behind the baseline during Sunday's final

Djokovic alifanikiwa kushinda kwa seti 6-3, 6-4 katika dakika 80 za mchezo huko London, na aliweza kusahihisha makosa yake baada ya mechi ya mwanzo ya makundi kufungwa na Roger Federer.
 The second set remained on serve until the final game, when Djokovic broke to claim the match

Mpaka sasa Djokovic anamaliza mwaka huu kwa kushinda mataji 11 yakiwemo ya matatu ya Gland slam, na kwa upande wake Roger Federer amesema hakuna furaha yoyote katika upande ulioshindwa ila ni vizuri kushiriki kuliko kutoshiriki kama mwaka uliopita.



Novak Djokovic kisses the ATP World Tour Finals trophy after defeating Roger Federer 6-3, 6-4 on Sunday



Arsenal legend and Sky Sports pundit Thierry Henry is courtside with Bosnian model girlfriend Andrea Rajacic
 Gwiji wa Arsenal na mchambuzi wa kituo cha Sky Thierry Henry akiwa na modo wa  Bosnia  Andrea Rajacic kwenye fainal ya Djokovic na Federer
 Arsenal striker Olivier Giroud catches some tennis with wife Jennifer after Saturday's loss to West Brom Mshambuliaji wa Arsenal  Olivier Giroud akiwa miongoni mwa mastaa waliohudhuria mchezo huo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox