STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 22 Novemba 2015

MAJINA YA WACHEZAJI KUMI WANAOHUSISHWA KUTUA ARSENAL........

Ikiwa homa ya dirisha dogo la usajili inazidi kuchukua headlines Tanzania, vilabu vikiendelea kusaka saini za wachezaji zinaowataka waongeze nguvu vikisoni mwao kabla ya dirisha dogo la usajili halijafungwa December 15, nchini Uingereza homa ya dirisha dogo la usajili inazidi kuchukua headlines katika vilabu kadhaa ikiwemo Arsenal.
West-Brom-vs-Arsenal
Coquelin akitolewa nje baada ya kupata majeraha katika mchezo dhidi ya West Brom
Kwa kiasi kikubwa klabu ya Arsenal inahusishwa kufanya usajili wa mchezaji au wachezaji wanafasi ya kiungo, Arsenal kwa sasa ambayo inasumbuliwa na wachezaji wake kuwa majeruhi, hivyo inahusishwa kwa karibu kutaka kusajili wachezaji wa nafasi ya kiungo ambao ndio wengi wao majeruhi kikosi mwao.

Southampton-vs-Bournemouth
Victor Wanyama mwenye mpira
Kwa sasa Arsenal ina wachezaji watano ambao ni majeruhi Aaron Ramsey, Francis Coquelin, Mikel Arteta, Jack Wilshere na Alex Oxlade-Chamberlain ila inahusishwa kutaka kuwasajili Luiz GustavoChristoph KramerLucas BigliaWilliam Carvalho, Grzegorz KrychowiakCheikhou Kouyate, James McCarthy, Ever Banega na mkenya Victor Wanyama anayekipiga katika klabu ya Southampton ya Uingereza miongoni mwa majina hayo usishangae kama jina moja wapo likijiunga na Arsenal mwezi January.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox