STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 23 Novemba 2015

HAFUKUZWI MTU,RAIS WA MADRID AFUNGUKA...................

Perez arrives at the press conference at the Santiago Bernabeu before publicly backing Benitez 


Huku mashabiki wengi wakiwa wanaamini Kocha Rafa Benitez anatimuliwa kazi Real Madrid, mambo yamekuwa tofauti.

Rais wa Real Madrid, Florentino Pérez amesema wanamuunga mkono Benitez na wako tayari kama uongozi kumpa kila sapoti.
"Kocha wetu Rafa Benítez,  tunamwamini na kumuunga mkono, tunajua kikosi kimekuwa katika presha kubwa kutokana na mambo kadhaa.
“Majeruhi na mambo mengine, lakini ni mambo ya kurekebisha na tutakuwa pamoja katika hili,” alisema.
Wakati Perez alipoitisha kikao usiku huu, wengi waliamini safari imemmkuta Benitez hasa baada ya kile kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Barcelona ambao waliuchezea mpira kwelikweli.

Tayari kulikuwa na taarifa, Carlo Ancelotti alikuwa antarajia kurejea Madrid na kuchukua nafasi ya Benitez.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox