Wachezaji hawa wote wamefunga magoli 10 katika michezo 10 mfululizo huku mshambuliaji wa zamani wa Manchester united,Van Nistelooy akiwa wa kwanza kuiweka rekodi hiyo mwaka 2003 kwenye mchezo dhidi ya Newcastle kabla mshambuliaji wa Leicester City,Jamie Vardy kuifikia katika mchezo dhidi ya Newcastle United.
Endapo Vardy atafunga dhidi ya Manchester United atakuwa kaweka rekodi mpya ya kufunga magoli 11 kwenye michezo 11 katika historia ya ligi kuu ya nchini Uingereza tangu kuanza kwake 1992.
Lakini pia anatakiwa kufunga magoli 12 kwenye michezo 12 kufikia rekodi ya gwiji wa zamani wa Ireland na vilabu vya Shamrock
Rovers B, New Brighton,Sheffield united,Arsenal,Sothampton na Shamrock Rovers James "Jimmy" Dunne.
Jimmy alipokuwa Sheffield United 1926-1934 alifanikiwa kufunga magoli 12 katika michezo 12 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
| msimu wa 1931-1932 katika ligi daraja la kwanza kwa sasa ni ligi kuu tangu 1992 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
1 - Manchester United 3-0 Fulham (March 22, 2003)
Van
Nistelrooy
1 - Bournemouth 1-1 Leicester (August 29, 2015)
Vardy
2 - Manchester United 4-0 Liverpool (April 5, 2003)
2 - Leicester 3-2 Aston Villa (September 13, 2015)
3 - Newcastle 2-6 Manchester United (April 12, 2003)
3 - Stoke 2-2 Leicester (September 19, 2015)
4 - Arsenal 2-2 Manchester United (April 16, 2003)
4 - Leicester 2-5 Arsenal (September 26, 2015)
5 - Manchester United 3-1 Blackburn Rovers (April 19, 2003)
5 - Norwich 1-2 Leicester (October 3, 2015)
6 - Tottenham 0-2 Manchester United (April 27, 2003)
6 - Southampton 2-2 Leicester (October 17, 2015)
7 - Manchester United 4-1 Charlton (May 3, 2003)
7 - Leicester 1-0 Crystal Palace (October 24, 2015)
8 - Everton 1-2 Manchester United (May 11, 2003)
8 - West Bromwich Albion 2-3 Leicester (October 31, 2015)
9 - Manchester United 4-0 Bolton (August 16, 2003)
9 - Leicester 2-1 Watford (November 7, 2015)
10 - Newcastle 1-2 Manchester United (August 23)
10 - Newcastle 0-3 Leicester (21 November 2015)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni