STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 21 Novemba 2015

KUELEKEA MCHEZO WA EL CLASICO, FAHAMU VIKOSI VYA TIMU NA TAKWIMU ZAO.......







Real Madrid leo usiku itakuwa mwenyeji wa FC Barcelona kwenye pambano la kwanza la El Clasico msimu huu kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu.

Rafa Benitez atakuwa anakiongoza kikosi cha Madrid kwenye mchezo wa El Clasico kwa mara ya kwanza huku kikosi chake kikiwa nyuma ya Barcelona kwa pointi tatu kwenye msimamo wa La Liga.

Real Madrid walipokea kichapo kwa mara ya kwanza chini ya kocha wao mpya Rafa Benitez kwenye mchezo uliopita dhidi ya Sevilla kabla ya mapumziko kupisha ratiba ya mechi za kimataifa za kalenda ya FIFA.

Luis Suarez na Neymar wamekuwa tishio kwenye safu ya ushambuliaji ya Barcelona licha ya kukosekana kwa Lionel Messi, lakini mkali huyo wa Argentina anaweza kurejea kwenye mchezo huo baada ya kuwa nje kwa muda kufuatia kuumia goti na kukaa nje ya uwanja kwa miezi miwili.





TAKWIMU ZA RONALDO NA MESSI KATIKA EL-CLASSICOIN NUMBERS: History of El Clasico
El Clasico In Numbers
             MAGOLI MENGI KATIKA EL CLASSICO;
El Clasico In Numbers
        
                       PASSI NYINGI ZA MWISHO;

El Clasico In Numbers 
 
                                 UFUNGAJI WA PENATI;
El Clasico In Numbers
 
 MAGOLI MENGI YA KICHWA;
El Clasico In Numbers

TAKWIMU ZA REAL MADRID NA BARCELONA LA-LIGA
El Clasico In Numbers
KIKOSI CHA REAL MADRID KINACHOTARAJIWA KUANZA;


KIKOSI CHA BARCELONA KINACHOTARAJIWA KUANZA PASIPO MESSI;



 



BARCELONA UWEPO WA MESSI ;


KUELEKEA MCHEZO WA EL CLASICO, FAHAMU TAKWIMU MBALIMBALI ZA MIAMBA HIYO YA SOKA LA HISPANIA






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox