STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 22 Novemba 2015

MASHABIKI WA REAL MADRID WAKUBALI MZIKI WA INIESTA, WAMPA HESHIMA KAMA YA RONALDINHO..........


 Ronaldinho alishangiliwa na mashabiki wa Real Madrid  19-11-2005, kwenye mchezo uliofanyika Bernabeu kutokana na umaridadi alioonesha.

Real fans clapped Ronaldinho after he scored his second following his sensational performance in 2005
Katika mchezo huo ambao Barcelona walishinda kwa magoli 3-0 huku Ronaldhinho akifunga miongoni mwa magoli bora kabisa katika mechi za El clasico.

Andres Iniesta was given a standing ovation by Real Madrid fans following his stunning performance 
Ikiwa ni miaka kumi tangu tukio hilo la kusisimua litokee hapo jana mashabiki wa Real Madrid wakafanya kama walivyo fanya 2005 kwa Ronaldinho baada ya kumshangilia Iniesta alipokuwa anatoka dakika ya 77 kumpisha Messi.

Lionel Messi hugs Iniesta as he makes his way off the pitch following his substitution  Lionel Messi akiwa kamkumbatia  Iniesta alipokuwa anatoka kumpisha aingie dakika ya 77.

Shangwe hizo ni kutokana na kiwango bora kabisa alichoonesha dhidi ya Real Madrid waliofungwa magoli 4-0
The Brazilian tore apart Real back in 2005 and the footballing world stood up to appreciate 
Ronaldinho alipokuwa Barcelona  2005

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox