STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 28 Novemba 2015

NI KLITSCHKO AU TYSON FURY NGOMA NZITO NANI KULAMBISHWA MCHANGA?

 

 Tyson Fury has a clear height advantage in Dusseldorf... but Manchester's 'Gypsy King'


Tyson Fury anakabiliwa na mtihani mgumu baada ya kudai kuwa atauwekea kikomo utawala wa miaka minne wa Wladmir Klitschko kama bingwa wa ulimwengu bila kupingwa wa uzani wa heavyweight.

Fighter Fury reacts as the public watch him get put through his paces during a training session on FridayMabondia hao wawili watapanda ulingoni mjini Düsseldorf Ujerumani kwa pigano la taji la ulimwengu.

Muingereza huyo mwenye umri wa miaka 27 hajashindwa katika mapigano 24 huku akishinda 18 kwa njia ya knockout, na anakutana na bingwa aliye na uzoefu mkubwa, anayemshinda umri kwa miaka 12 na anayeshikilia mikanda ya WBA, IBF, IBO na WBO.
 Fury works out in front of the public as he prepares to come up against Klitschko in Saturday's showdown

Fury amesisitiza kabla ya pigano hilo kuwa atamnyamazisha Klitschko ulingoni 

"Nini kinanifanya nifikirie hilo?

 Kwa sababu mimi ndiye kimbunga. Tyson ni mwenye kasi na ghadhabu! Sijawahi kushindwa na sitashindwa leo usiku.
Hiyo ni kwa sababu wapinzani wote wa nyuma walikuja hapa Ujerumani wakiamini kuwa watashindwa. Walikuwa hapa kwa ajili ya pesa. Pesa sio motisha yangu. Kushinda ndio motisha yangu. Na naamini kutoka moyoni kuwa nitashinda pigano hili. Na sio kushinda tu, nitashinda kwa mtindo wa aina yake. na nitaimba wimbo ili kusherehekea ushindi huo"
 Ukraine's boxing champion Klitschko attends a public training session at the airport in Dusseldorf, Germany
Klitschko mwenye umri wa miaka 39, aliwahi kushindwa mara tatu zaidi ya mwongo mmoja uliopita na anapanga kumfanya Fury kuwa ushindi wake wa 54 kwa njia a knock put na wake wa 65 katika taluma yake. "Ulingoni nitatarajia kila kitu kutoka kwa Tyson Fury. Ameonyesha kuwa anajiamini sana, anataka kuwa bingwa wa ulimwengu, anataka kunirambisha sakafu na wengine wanaamini hilo. Ninaamini Tyson Fury atakuwa hatari sana".
 Klitschko concentrates as he trains at Dusseldorf airport during an open session ahead of his fight with Fury
Pigano hilo awali lilipangwa kuandaliwa Oktoba lakini likaharishwa kutokana na maumivu ya nyonga aliyopata Klitschko ambayo sasa yamepoa.
On Saturday night Manchester-born boxer Fury will take on Klitscko in the ring in front of 55,000 fans
Tyson Fury has a clear height advantage in Dusseldorf... but Manchester's 'Gypsy King'


Pambano hilo linapigwa alfajiri ya leo Afrika Mashariki  pale Dusseldorf nchini Ujerumani takribani watazamaji 55,000 watashuhudia katika uwanja huo.

KLITSCHKO



TYSON

The 39-year-old heavyweight champion Klitschko, poses behind his belts during a pre-fight press conferenceKlitschko mwenye umri wa miaka 39 amekuwa bingwa wa dunia katika uzani huo tangu mwaka 2006,akiwa amepigana mapigano 27 na kufanikiwa kuyatetea mataji yake mara 23.

Atakuwa akitetea taji lake la WBA ,IBF na WBO dhidi ya raia wa Uingereza Tyson Fury.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox