STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 17 Novemba 2015

USALAMA KUIMARISHWA MARA DUFU MECHI EL CLASSICO JUMAMOSI.


USALAMA kuelekea mchezo wa Jumamosi wa Clasico kati ya Real Madrid na Barcelona umepangwa kuimarishwa maradufu kufuatia tukio la mashabulio ya kigaidi lililotokea wiki iliyopita jijini Paris. 
 Tokeo la picha la el classico

Mchezo huo wa La Liga utaangukia ikiwa imepita wiki moja baada ya magaidi kushambulia maeneo kadhaa katika mji mkuu huo wa Ufaransa na kuuwa watu zaidi ya 129 na kuacha wengine mamia majeruhi. 

Mchezo huo wa Classico utakaochezwa katika Uwanja wa Santiago Bernabeu hauko katika mashaka ya kutochezwa lakini polisi jijini Madrid wataongezwa ili kuhakikisha usalama zaidi katika mchezo huo utakaozikutanisha klabu kubwa duniani.
 Tokeo la picha la el classico
 Polisi wamedai kuwa mpaka vyakula vitakaguliwa wakati wa kuingia uwanjani hivyo kuwataka mashabiki kutoa ushirikiano katika mchezo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox