Mwishoni mwa wiki iliyopita ratiba
kadhaa za michezo ndani na maeneo mengine kuzunguko mji huo
zilisimamishwa kufuatia matukio hayo ya kigaidi ambayo yamepeleka vifo
vya zaidi ya watu 129.
Kufuatia kikao cha kati ya wizara ya mambo ya
ndani na Bodi ya Ligi ya nchi hiyo, Braillard amesema waliafikiana kuwa
mechi za ligi za mwishoni mwa wiki hii ziendelee kuchezwa kama
zilivyopangwa.
Kikubwa kitakachofanyika katika mechi hizo ni kuongeza
hali ya usalama katika maeneo yote ya nchi hiyo ili kuhakikisha hakuna
tukio lingine linatokea.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni