STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 12 Desemba 2015

CHAMPIONS LIGI BARANI AFRIKA YANGA USO KWA USO NA CERCLE DE JOACHIM.......................

 Tokeo la picha la caf
 
Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limeipanga Yanga kuanza na Cercle de Joachim ya Mauritius katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
Yanga ndiyo mabingwa wa Tanzania na wawakilishi katika Ligi ya Mabingwa ambayo ni michuano mikubwa zaidi kwa ngazi ya klabu.

Kwa mujibu wa ratiba ya Caf, iwapo Yanga itaishinda timu hiyo ya Mauritius, itakutana na mshindi kati ya Mbabane Swallows ya Swaziland na APR ya Rwanda.
 
St. George ya Ethiopia itavaana na timu toka Seychelles (Bado haijafahamika) na ikishinda itavaana na wabingwa watetezi wa kombe hilo TP Mazembe ya Lubumbashi,Congo.

Vipers SC ya Uganda itavaana na Enyimba ya Nigeria na mshindi atavaana na Lioli ya Lesotho ama Vital O’ ya Burundi.


Gor Mahia ya Kenya itavaana na CNAPS ya Madagascar ikishinda itavaana na mshindi kati ya Wydad Casablanca ama AS Douanes Niamey

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox