STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 3 Desemba 2015

HAPA KAZI TU:MSAKO MKALI WAENDESHWA DHIDI YA MAAFISA WA FIFA.......

 
Maafisa kadha wa Fifa wamekamatwa kwenye msako wa polisi uliofanywa katika hoteli moja kuu mjini Zurich, Uswizi.
Police confirmed they had arrested two FIFA officials in the early hours of Thursday morning in Zurich 
Polisi walifika katika hoteli ya kifahari ya Baur au Lac mjini humo na wakaonekana wakiondoka na watu wawili.

Members of the media stand outside the Baur au Lac awaiting further information on the morning arrests 
Shirikisho hilo linalosimamia soka duniani limesema litashirikiana kikamilifu na wachunguzi.
Juan Angel Napout of Paraguay (right), another FIFA vice-president, is also reported to have been arrested Juan Angel Napout wa Paraguay (kulia), mmoja kati ya makamu wa uraisi wa FIFA imeripotiwa amekamatwa

Hii ni mara ya pili kwa hoteli hiyo inayotumiwa na maafisa wa Fifa kuvamia na polisi mwaka huu huku tuhuma za ufisadi zikiendelea kulizonga shirikisho hilo.

A person in a police car hides their face behind a folder as it leaves the Baur au Lac following the arrestsA car leaves the Baur au Lac, which has been targeted by police for the second time this year 
Mkutano wa siku mbili wa kamati tendaji ya Fifa unaendelea katika mji huo.

FIFA's executive committee were gathering in Switzerland ahead of a two-day meeting at the end of this week 
“Fifa imefahamu kuhusu hatua zilizochukuliwa leo na idara ya haki ya Marekani,” shirikisho hilo limesema.

“Fifa itaendelea kushirikiana kikamilifu na wachunguzi wa Marekani kama inavyokubalika katika sheria ya Uswizi, pamoja na uchunguzi unaoendeshwa na afisi ya mwanasheria mkuu wa Uswisi.
“Fifa haitasema lolote zaidi kuhusiana na yaliyojiri leo.”

FIFA say they are fully aware of the action and will cooperate but refused to comment on the developments

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox