STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 7 Desemba 2015

LIGI YA MABINGWA ULAYA KUENDELEA LEO NA KESHO, KUFA NA KUPONA KWA CHELSEA, ARSENAL, MAN UNITED NA WANGINE



RATIBA LIGI YA MABINGWA ULAYA
 
Leo Jumanne Desemba 8, 2015
 
VfL Wolfsburg Vs Manchester United (Saa 3:45 usiku)
Sevilla Vs Juventus (Saa 3:45 usiku)
Real Madrid Vs Malmo FF (Saa 3:45 usiku)
Paris Saint-Germain Vs Shakhtar Donetsk (Saa 3:45 usiku)
PSV Vs CSKA Moscow (Saa 3:45 usiku)
Manchester City Vs Borussia Monchengladbach(Saa 3:45 usiku)
Galatasaray Vs FC Astana (Saa 3:45 usiku)
Benfica Vs Atletico Madrid (Saa 3:45 usiku) 
 
Kesho Jumatano Desemba 9, 2015
Valencia CF Vs Lyon (Saa 3:45 usiku)
Roma Vs BATE Borisov (Saa 3:45 usiku)
Olympiakos Vs Arsenal (Saa 3:45 usiku)
KAA Gent Vs Zenit St Petersburg (Saa 3:45 usiku)
Dynamo Kyiv Vs Maccabi Tel Aviv (Saa 3:45 usiku) Dinamo Zagreb Vs FC Bayern Munich (Saa 3:45 usiku)
Chelsea Vs FC Porto (Saa 3:45 usiku)
Bayer 04 Leverkusen Vs Barcelona (Saa 3:45 usiku)

Kocha Arsene Wenger wa Arsenal anahitaji ushindi wa ugenini kesho kusonga mbele Ligi ya Mabingwa Ulaya

MECHI za kuhitimisha hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya zinachezwa leo na kesho barani humo, macho na masikio ya wengi yakiwa kwa Arsenal na Manchester United, ambazo zinachungulia mlango wa kutokea.
 
United leo watakuwa wageni wa VfL Wolfsburg Uwanja wa Volkswagen Arena katika mchezo wa Kundi B ambao, watahitaji ushindi ili kwenda hatua ya mtoano.
 
Kwa sasa United ina pointi nane ikiwa nafasi ya pili nyuma ya Wajerumani hao wenye pointi tisa, lakini PSV inaingia kwenye mchezo wa mwisho nyumbani dhidi ya CSKA Moscow ikiwa na pointi saba.
 
Mechi nyingine za leo, ni kati ya Sevilla na Juventus, Real Madrid na Malmo FF, Paris Saint-Germain na Shakhtar Donetsk, Manchester City na Borussia Monchengladbach, Galatasaray na FC Astana na Benfica.
 
Arsenal kesho watakuwa wageni wa Olympiakos  katika mchezo wa Kundi F Uwanja wa Georgios Karaiskakis wakihitaji lazima kushinda ili kwenda hatua ya mtoano.
Kwa sasa Arsenal ina pointi sita katika nafasi ya tatu, nyuma ya Olympiakos wenye pointi tisa na Bayern Munich pointi 12.
 
Chelsea watakuwa wenyeji wa FC Porto Uwanja wa Stamford Bridge katika mchezo ambao The Blues watahitaji japo sare tu kujihakikishia kusonga mbele.
 
Mechi nyingine za kesho ni kati ya Valencia CF na Lyon, Roma na BATE Borisov, KAA Gent na Zenit St Petersburg, Dynamo Kyiv na Maccabi Tel Aviv na Kiev Olympic, Dinamo Zagreb na Bayern Munich na Bayer 04 Leverkusen na Barcelona.

Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal ana mtihani mzito Ligi ya Mabingwa Ulaya


MSIMAMO WA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Kundi A



PWDLGFGAGDPts
1Real Madrid5410113813
2Paris Saint-Germain5311101910
3Shakhtar Donetsk5104712-53
4Malmo FF5104113-123

Kundi B



PWDLGFGAGDPts
1VfL Wolfsburg53026429
2Manchester United52215418
3PSV52126607
4CSKA Moscow511347-34

Kundi C



PWDLGFGAGDPts
1Atletico de Madrid531192710
2Benfica531196310
3Galatasaray511359-44
4FC Astana5032410-63

Kundi D



PWDLGFGAGDPts
1Juventus532062411
2Manchester City53028629
3Borussia Monchengladbach512268-25
4Sevilla5104711-43

Kundi E



PWDLGFGAGDPts
1Barcelona54101431113
2Roma51221116-55
3Bayer 04 Leverkusen5122121115
4BATE Borisov5113512-74

Kundi F

PosTeamPWDLGFGAGDPts
1FC Bayern Munchen54011731412
2Olympiakos5302610-49
3Arsenal5203910-16
4Dinamo Zagreb5104312-93

Kundi G



PWDLGFGAGDPts
1Chelsea5311113810
2FC Porto531196310
3Dynamo Kyiv52217438
4Maccabi Tel Aviv5005115-140

Kundi H



PWDLGFGAGDPts
1Zenit St Petersburg5500124815
2KAA Gent52126607
3Valencia CF520357-26
4Lyon501439-61

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox