STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 9 Desemba 2015

STURRIDGE MAJANGA TENA.

MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Daniel Sturridge anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa wiki kadhaa baada ya kupata majeruhi ya msuli wa paja wakati wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Newcastle United Jumapili hii. 
 
Sturridge alihisi kuwa na tatizo hilo baada ya kuingia uwanjani akitokea benchi katika kipindi cha pili cha mchezo huo uliofanyika katika Uwanja wa St. James Park na vipimo kuonyesha majeruhi hayo. 
 
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26, ndio kwanza alikuwa amerejea kutoka katika majeruhi ya muda mrefu aliyokuwa yakimsumbua ya goti na mguu. 
 
Sturridge amecheza mechi sita pekee msimu huu huku akifunga mabao manne. Katika kipindi cha karibu Sturridge amekuwa kisumbuliwa na majeruhi ya mara kwa mara, ambapo msimu uliopita alicheza mechi 18 pekee.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox