Timu ya Taswa fc ya mkoani Morogoro ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Maveterani wa mkoani Dodoma mchezo uliofanyika uwanja wa Kilimani Club mkoani Dodoma jumapili ya tarehe 6/3/2016.
Magoli ya Taswa fc yalifungwa na Yahya Machupa,Abdallah Makamera na mchezaji anaefahamika kwa jina la Mateleka Jalilu.
Katiak mchezo huo ambao ulikuwa wa ujirani mwema kukuza mahusiano zaidi timu zote zilicheza vyema katika vipindi vyote isipokuwa kasi ya vijana wa Taswa ambao walikuwa makini kujilinda na kutumia nafasi walizo zipata za kufunga ndo ilipelekea jahazi la Dodoma Veterani kuzama ikichagizwa na uzembe wa safu yao ya ulinzi.
Na baada ya mchezo huo mwenyekiti wa Taswa mkoani Morogoro,Daudi Juliani alisisitiza kuwa ushindi huo hawawezi kubweteka na watahakikisha kila watakae cheza nae anapokea kichapo wakati upande wa Dodoma Veterani wamehaidi kuomba mchezo wa marudiano ili kulipiza kisasi.
TIZAMA PICHA ZA BAADHI YA WACHEZAJI WA TASWA KABLA YA KUANZA KWA MCHEZO ;
Abuu Wanaah na Abuu Shomari waki zunguka mitaa ya Dodoma kabla ya mchezo
Yahya Machupa , Abuu na mzungu Peter
Yahya Machupa na Abuu
Wachezaji wakiwa Dodoma,Carnival
Hapa ndani ya Gari wakitua Dodoma
Eneo hili ni raundi about kubwa ya Manispaa ya Dodoma na wachezaji hawa wanajaribu tizama madhari ya hapa
Wachezaji hawa wakiwa ndani ya ukumbi wa Kilimani,Uzunguni Dodoma
Mr'Choi katika pozi
Baraka katika pozi la picha
Mr'Choi katika pozi ndani ya ukumbi wa Kilimani
Baraka Malila katika pozi ndai ya Kilimani Klabu
Wachezaji mbalimbali baada ya mchezo
Baadhi ya wachezaji wakizunguka maeneo ya Dodoma,mjini kabla ya mchezo.
Hapa ni mnara wa mashujaa,Dodoma
Baada ya kupata chai ,kuelekea Dodoma
Dodoma Carnival,mkoani Dodoma
Dodoma Carnival,mkoani Dodoma
Mr'Choi na Baraka miongoni mwa mabeki bora wa kati
KIKOSI CHA TASWA-MOROGORO;
1-Abuu Wanaah
2-Ramadhani Hassan
3-Yahya Machupa
4-Baraka Malila
5-Abuu Shomari
6-Fransi
7-Mr'Choi
8-Abdallah Ajida
9-Mateleka Jalilu
10-Alex Mtalika
11-Revocatus Andrew
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni