STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 9 Mei 2016

FAHAMU KIKOSI BORA CHA MSIMU LIGI KUU YA UFARANSA HUKU CADABRA AKITWAA TUZO YA MSIMU..........



Ligi kuu ya nchini Ufaransa ambayo imeanzishwa 1923 ni miongoni mwa ligi kubwa tano barani Ulaya kwa hivi sasa huku ikijumuisha wachezaji kutoka mabara mbalimbali ikiwemo barani Afrika.


Wikendi hii tulishuhudia tuzo mbalimbali zikitolewa kwa waliofanya vizuri katika msimu wa 2015-2016 msimu ambao Paris Saint German wamefanikiwa kutetea ubingwa wao.

Tuzo hizo ni mchezaji bora wa msimu ambapo washindani walikuwa ni  Zlatan Ibrahimovic, Angel Di Maria wote wa Psg ,  Hatem Ben Arfa wa Nice na kiungo wa Marseille  Lassana Diarra na mwisho wa siku mshambuliaji wa Psg Zlatan Ibrahimovic, mwenye magoli  35 msimu huu kufanikiwa kushinda tuzo hiyo kwa mara ya tatu mfululizo.

 Ligue 1 Player of the Year – Zlatan Ibrahimovic (Paris Saint-Germain)

Kocha wa Psg, Mfaransa Laurent Blanc amefanikiwa kushinda tuzo ya kocha bora wa msimu ikiwa ni mara ya pili mfululizo huku kinda mwenye miaka 18 wa klabu ya  Rennes mshambuliaji Ousmane Dembele akichukua tuzo ya chipukizi bora wa msimu.


 http://media.gettyimages.com/photos/french-marseilles-goalkeeper-steve-mandanda-receives-the-ligue-1-of-picture-id529196332
 Ligue 1 Goalkeeper of the Year - Steve Mandanda (Marseille)


Golikipa bora ni Steve Mandanda wa Marseille akimshinda kipa wa Lille ambae alipewa chapuo huenda angeshinda mnigeria Vincent Enyeama wakati goli bora la msimu ambalo limechaguliwa lilifungwa na Pierrick Capelle wa Angers SCO katika mchezo dhidi ya  EA Guingamp.


http://media.gettyimages.com/photos/french-rennes-forward-ousmane-dembele-receives-the-ligue-1-20152016-picture-id529197930
Ligue 1 Young Player of the Year РOusmane Demb̩l̩ (Rennes)

 Paris Saint-Germain's French coach Laurent Blanc (left) receives the Ligue 1 2015-2016 Manager of the Year award

Ligue 1 Coach of the Year – Laurent Blanc (Paris Saint-Germain)
 Serge Aurier speaks to the crowd alongside his fellow Team of the Year winners on Sunday night
                 KIKOSI BORA CHA MSIMU 2015-2016-

 Steve Mandanda (Marseille); Maxwell (PSG), David Luiz (PSG), Thiago Silva (PSG), Serge Aurier (PSG); Blaise Matuidi (PSG), Lassana Diarra (Marseille), Marco Verratti (PSG); Hatem Ben Arfa (Nice), Zlatan Ibrahimovic (PSG), Angel di Maria (PSG)

-->

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox