STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 10 Mei 2016

PIGO KWA MANCHESTER UNITED BAADA YA BAYERN MUNICH KUMSAJILI........................

Sanches is put through his paces during an official medical with German giants Bayern Munich on Tuesday 

 Klabu ya Manchester United kwa muda mrefu imekuwa ikihusishwa na taarifa za kumuwania kiungo mshambuliaji wa Benfica Renato Sanches ambae amekuwa na kiwango bora kabisa katika klabu hiyo ya nchini Ureno sehemu ambayo ndipo alipokulia kisoka.

Sanches (right) poses for a photo with Rummenigge (left) after putting pen to paper on a five-year deal
  Karl-Heinz Rummenigge (left)Sanches (right)

Taarifa za kujiunga kwake Manchester United zilizidi kushamiri mara baada ya kocha Jose Mourinho kuhusishwa kuchukua nafasi ya Louis Van Gaal kama kocha mkuu wa klabu hiyo msimu ujao.


Bayern Munich have announced the signing of Renato Sanches (right) from Benfica for £28m - the Portugal international signs a contract  alongside chief executive Karl-Heinz Rummenigge (left)

Hayo yalikuja kutokana na wakala wa Mourinho ,Jorge Mendes kuwa pia ni wakala wa Renato Sanches.

Sanches has been in impressive form for Portuguese outfit Benfica since his promotion to the first teamTaarifa zilizotoka ni kwamba  Renato Sanches amejiunga rasmi na mabingwa wa Bundasliga, Bayern Munich kwa mkataba wa miaka mitano akinunuliwa kutoka Benfica kwa  £28m.


Sanches will ply his trade under Bayern Munich's soon-to-be manager Carlo Ancelotti Kocha mpya wa Bayern Munich  Carlo Ancelotti

                           RENATO SANCHES STATISTICS 

2015-2016: Benfica - 34 appearances, 2 goals
2016-  : Portugal - 2 caps, 0 goal

Sanches is expected to be included in Portugal's 23-man squad for this summer's European Championship

Wakati huo;
Bayern Munich have announced their second signing of the day after sealing the signature of Mats HummelsBayern Munich imetangaza pia kumnasa nahodha wa Borussia Dortmund Mjerumani MatsHummels.

Habari kutoka Ujerumani zinasema Hummels,27 amesaini mkataba wa miaka mitano wa kuitumikia Bayern Munich.Mkataba huo utafikia ukomo Juni 30,2021.

The Germany international has become a key member of Dortmund's side since arriving at the club in 2009

Hii ni kama Hummels amerudi nyumbani kwani safari yake ya kucheza soka ilianzia katika shule ya soka ya Bayern Munich kabla ya mwaka 2008 kutua Borussia Dortmund kwa uhamisha wa mkopo ambao baadae ulifanywa kuwa wa kudumu.

Hummels anakuwa mchezaji wa tatu kuhamia Bayern Munich katika kipindi kisichozidi miaka mitatu.Wa kwanza alikuwa Mario Gotze kisha akafuatiwa na Robert Lewandowski.

Hummels, pictured playing against Bayern in March this year, has penned a five-year contract at Allianz Arena 
Hummels atajiunga na Bayern Munich Juni 1 baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali wa kombe la DFB-Pokal utakaochezwa Mei 21 kati ya Borussia Dortmund na Bayern Munich.




                         MATS HUMMELS MSIMU HUU;

Appearances: 29
Goals: 2
Pass accuracy: 86 per cent
Tackles won: 68 per cent
Headed duels won: 70 per cent
*Bundesliga statistics only 

The outgoing Borussia Dortmund captain has helped the club win two Bundesliga titles and the German Cup

WACHEZAJI WALIOTOKA DORTMUND KWENDA BAYERN

Thomas Helmer (1992)
Torsten Frings (2004)
Mario Gotze (2013)
Robert Lewandowski (2014) 
MATS HUMMELS (2016)

The defender was a star member of Germany's World Cup-winning squad and played in final against Argentina
Hummels ni miongoni mwa wachezaji wa Ujerumani waliochukua kombe la Dunia kule  Brazil 2014

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox