STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 12 Oktoba 2016

TASWIRA JINSI SANTIAGO BERNABEU ITAVYOKUWA HUKU ZAIDI YA BILIONI 950 KUTUMIKA......



Klabu ya Real Madrid ya Hispania imeripotiwa na mtandao wa dailymail.co.uk kuwa katika mpango wa kuukarabati uwanja wao wa Santiago Bernabeu ili kuwa wa kisasa zaidi, Real Madrid wamepanga kukarabati uwanja wao huo ambao kwa mwaka unaripotiwa kupokea zaidi ya watu milioni 4.

394dfc2300000578-0-image-a-3_1476192646827

Rais wa Real Madrid Florentino Perez na meya wa jiji la Madrid Manuela Carmena wameweka hadharani project hiyo sambamba na michoro ya uwanja huo utakavyokuwa, mradi huo ambao utakamilika katika kipindi cha miaka mitatu unatajwa kuwa moja kati ya kivutio cha mji wa Madrid hususani nyakati za usiku kwa aina za taa zitakazowekwa.

394de41100000578-0-image-a-2_1476192643518

Perez amesema ukarabati wa uwanja huo hautahusisha ongezeko la watu wanaoingia uwanjani, bali idadi ya watu wataendelea kuwa 81000 kama kawaida, isipokuwa viti 3000 vitabadilishwa katika uwanja huo, ukarabati huo utagharimu zaidi ya pound milioni 360 ambazo ni zaidi ya bilioni 950 za kitanzania.

08f25403000005dc-3832636-image-a-19_1476193732617
Muonekano wake wa sasa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox