Usiku wa October 24 2016 waandaaji wa tuzo za LaLiga walitoa tuzo hizo rasmi, tuzo za wachezaji na makocha waliofanya vizuri katika msimu wa 2015/2016 .
WASHINDI WA TUZO ZA LA LIGA;
Antoine Griezmann, alitangazwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa ligi ya Hispania maarufu kama La Liga kwa msimu wa 2015/16
Griezmann ameshinda tuzo hiyo mbele ya wakali wa Barcelona Lionel Messi na Luis Suarez .
Nyota wa Real Madrid's Luka Modric amepata tuzo ya kiungo bora wa La Liga, akiwazidi kiungo wa Barcelona Sergio Busquets na nahodha wa Villarreal Bruno Soriano ambao wameshika nafasi ya pili na tatu.
Kocha wao Diego Simeone akipata tuzo yake ya tatu ya kocha bora ndani ya misimu minne akiwashinda kocha wa zamani wa Villarreal Marcelino na yule wa Celta Vigo Eduardo Berizzo huku Luis Enrique wa Barcelona ambaye amewahi kushinda tuzo mara mbili safari hii akikosa kabisa.
Marco Asensio wa Real Madrid ameshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa La Liga kufuatia kiwango bora msimu uliopita ambapo alikuwa akicheza kwa mkopo kunako klabu ya Espanyol.
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel messi ameshinda tuzo ya mshambuliaji bora wa La-Liga
Luis Suarez wa FC Barcelona ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa La-Liga ikitolewa kwa mara ya kwanza pia ndie mfungaji bora kwa msimu uliopita.
LaLiga Santander Award Winners
- Best Goalkeeper: Jan Oblak (Atletico Madrid)
- Best Defender: Diego Godin (Atletico Madrid)
- Best Midfielder: Luka Modric (Real Madrid)
- Best Striker: Lionel Messi (FC Barcelona)
- Best Coach: Diego Simeone (Atletico Madrid)
- Best Player: Antoine Griezmann (Atletico Madrid)
- Best Newcomer: Marco Asensio (RCD Espanyol)
- LaLiga World Player: Luis Suarez (FC Barcelona)
- Jugador Cinco Estrellas de la Aficion (Fans' Five-Star Player): Antoine Griezmann (Atletico Madrid)
STORI YA PILI;
Majina ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya Ballon D’Or tayari yametangazwa.
Tangu mwaka 2010, tuzo ya Ballon D’Or na mchezaji bora wa mwaka wa FIFA zimeunganishwa na kuwa tuzo moja ‘FIFA Ballon D’Or’.
Rais mpya wa FIFA Gianna Infantino amesema anataka kuirejesha tuzo ya shirikisho hilo linalosimamia soka duniani ili kuongeza thamani ya shirikisho, kwahiyo safari hii kunauwezekano kukawa na tuzo mbili tena.
Wachezaji wawili wa Manchester City Sergio Aguero na Kevin de Bruyne pamoja na mshambuliaji wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic pia wamo kwenye list hiyo.
Jarida la France Football limetoa orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo kwa magroup ya wachezaji watano-watano.
Tuzo hiyo ambayo hutolewa na jarida la France Football kila mwaka tangu mwaka 1956, lakini kwa miaka sita iliyopita ilikuwa ikijulikana kama Fifa Ballon d’Or ikitolewa kwa kushirikiana na shirikisho la soka duniani.
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi alishinda tuzo hiyo mwaka uliopita huku akiweka rekodi ya kuitwaa kwa mara ya tano.
Wachezaji wa tano kutoka ligi ya England – wachezaji watatu kutoka Man City Yaya Toure, Aguero na De Bruyne, mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez na Eden Hazard wa Chelsea walikuwa miongoni mwa wachezaji 23 walikuwepo kwenye list mwaka uliopita, pamoja na Bale ambaye ni raia pekee wa Uingereza.
Mara ya mwisho mchezaji tofauti na Messi na Ronaldo kutwaa tuzo hiyo ilikuwa ni mwaka 2007, ambapo kiungo mchezeshaji wa AC Milan wakati huo Ricardo Kaka aliposhinda tuzo hiyo.
Ibrahimovic na mchezaji mwenzake wa Manchester United Paul Pogba pia walikuwepo kwenye list kutokana na viwango vyao wakati huo wakiwa kwenye klabu zao za zamani Juventus na Paris St-Germain.
Orodha hiyo imekuwa ikichujwa hadi kufikia wachezaji watatu kabla ya tuzo kutolewa mwezi January.
List ya majina ya wachezaji wanaowania Ballon d’Or 2016;
Sergio Aguero (Manchester City), Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund), Gareth Bale (Real Madrid), Gianluigi Buffon (Juventus), Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Kevin de Bruyne (Manchester City), Paulo Dybala (Juventus), Diego Godin (Atletico Madrid), Antoine Griezmann (Atletico Madrid), Gonzalo Higuain (Juventus), Zlatan Ibrahimovic (Manchester United), Andres Iniesta (Barcelona), Koke (Atletico Madrid), Toni Kroos (Real Madrid), Robert Levandowski (Bayern Munich), Hugo Lloris (Tottenham Hotspur), Riyad Mahrez (Leicester City), Lionel Messi (Barcelona), Luka Modric (Real Madrid), Thomas Muller (Bayern Munich), Manuel Neuer (Bayern Munich), Neymar (Barcelona), Dimitri Payet (West Ham), Pepe (Real Madrid), Paul Pogba (Manchester United), Rui Patricio (Sporting Lisbon), Sergio Ramos (Real Madrid), Luis Suarez (Barcelona), Jamie Vardy (Leicester City), Arturo Vidal (Bayern Munich).

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni