STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 10 Novemba 2016

HIVI NDIVYO BRAZIL WALIVYO WAPIGIA ARGENTINA...............


 Philippe Coutinho (left) and Gabriel Jesus (right) join Neymar to celebrate Brazil's second goal against Argentina

Brazil wametoa kipigo kikali dhidi ya mahasimu wao Argentina kwa kuwafunga mabao 3-0 kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Russia uliofanyika Uwanja wa Mineirão uliopo Belo Horizonte.

 Neymar was the first player to reach Coutinho to celebrate after his side took the lead against their old foes 
Uwanja huo una kumbukumbu mbaya kwa Brazil kufuatia kuwahi kupoteza kwa kipigo kizito cha mabao 7-1 kutoka kwa Ujerumani katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2014.

 The job got even harder for Argentina before the break after Neymar swept the ball home to double the Brazilian advantage

Lakini safari hii hali ilikuwa tofauti kidogo baada ya kushuhudia wakishusha kipigo hicho kizito mbele ya mahasimu wao hao wa soka la Amerika ya Kusini.

Katika pambano hilo maarufu kama Superclássico das Américas magoli ya Brazil yamefungwa na Philippe Coutinho ambaye alifunga la kwanza kwa shuti kali la mbali baada ya kuwahadaa mabeki wa Argentina, la pili likwekwa kambani na Neymar na baadaye nyota wa zamani wa Tottenham Paulinho kuhitimisha karamu hiyo ya mabao.

 Captains Lionel Messi and Dani Alves, former Barcelona team-mates, pose with the match officials for the pre-match photo
Dondoo muhimu
  • Huu ni ushindi wa tano kwa kocha wa Brazil Tite tangu aichukue timu hiyo kutoka kwa mtangulizi wake Carlos Caetano Bledorn Verri maarufu kama Dunga mapema mwaka huu.
  • Brazil wanashika usukani kwenye mbio za kufuzu fainali za Kombe la Dunia kwa Amerika ya Kusini.
  • Argentina wameshindwa kupata ushindi katika michezo minne mpaka sasa, na wapo katika nafasi isiyoruhusu kufuzu.

  • Argentina wanashika nafasi ya sita kwenye msimao wa kundi.
  •  
  •                           VIDEO YA MAGOLI;
  •  



     



MATOKEO MENGINE;


Uruguay 2 - 1 Ecuador

Paraguay 1 - 4 Peru

Venezuel 5 - 0 Bolivia

Colombia 0 - 0 Chile

MSIMAMO BAADA YA MICHEZO;

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox