Kiungo N’golo Kante ameibuka shujaa baada ya kutwaa tuzo ya
‘Proffessional Football Association’ (PFA) ya mchezaji bora wa mwaka
nchini Uingereza.
Eden Hazard, Alexis Sanchez na And Keane ni moja ya wachezaji ambao
walikuwa katika kinyang’anyiro cha kugombania tuzo hiyo lakini mfaransa
huyo ambaye amekuwa ni muhimili mkubwa wa chelsea ndiye aliyebuka
shujaaa kwenye tuzo hizo zilitolewa usiku wa jumapili
Jina la Kante lilianza kusikika alipokuwa akikipiga na mabingwa
watetezi Leicester City akiisaidia kwa kiasi kikubwa klabu hiyo kutwaa
ubingwa huo kabla ya kujiunga na matajiri wa London.
Chelsea ilimsajili Kante akitokea Leicester kwenye dirisha kubwa la
usajili huku akileta mabadiliko makubwa ndani ya kikosi hasa katika
nafasi ya kiungo mkabaji iliyoonekana kulegalega msimu wa 2015/2016 na
kuifanya kuwa bora zaidi msimu huu wakiwa sambamba na Nemanja Matic.
Katika upande wa Tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa mwaka 2017 imekwenda kwa mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Spurs Dele Alli.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Jumatatu, 24 Aprili 2017
N'GOLO KANTE NDIYE MCHEZAJI BORA WA MWAKA (PFA), DELE ALLI NAE KACHUKUA YAKE
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni