STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 17 Aprili 2015

AYEW AITAMANI LIVERPOOL.

KIUNGO wa kimataifa wa Ghana, Andre Ayew amebainisha kuwa anatamani kucheza katika Ligi Kuu Uingereza. Nyota anayekipiga katika klabu ya Marseille ya Ufaransa amesema itakuwa heshima kubwa kwake kusaini kuichezea Liverpool. Ayew mwenye umri wa miaka 25 amekuwa mshabiki mkubwa wa Liverpool na kuna uwezekano wa kuondoka Marseille katika usajili ya majira ya kiangazi. Akihojiwa na luninga na Sky Sports Ayew amesema maisha yake yote amekuwa akiishabikia Liverpool, kwani amekuwa akitizama mechi zao akiwa mdogo huku akivutiwa zaidi na nahodha wake Steven Gerrard. Ayew aliendelea kudai kuwa haitakuwa kazi rahisi kumuona akiondoka katika majira ya kiangazi lakini ni jambo ambalo halikwepeki kwani watu wote huwa wanahitaji mabadiliko.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox