STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 17 Aprili 2015

MOURINHO AANZA KUONYESHA TAMBO ZAKE.

MENEJA wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho amesema timu yake imetumiwa meseji nyingi za kunyanyapaliwa katika mitandao ya kijamii kwasababu ya kuchoshwa. Kundi linalopinga meseji hizo limedai kuwa zaidi ya meseji 130,000 zilizotumwa kuhusiana na Ligi Kuu msimu huu, Chelsea ndio waliopata meseji nyingi zaidi kuliko klabu yeyote. Akihojiwa Mourinho ambaye timu yake inaongoza ligi kwa tofauti ya alama saba amesema anadhani wamepata meseji nyingi kwasababu watu wamechoshwa nao. Kocha huyo aliendelea kudai kuwa wamekuwa wakiongoza ligi toka mwanzoni mwa msimu mpaka sasa na hilo ndio jambo ambalo watu hawalipendi nchini humo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox