STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 3 Septemba 2015

KWA MARA YA KWANZA WALES YAIZIDI UINGEREZA KWA VIWANGO........




KWA mara ya kwanza Wales imeizidi Uingereza katika viwango vya ubora vinavyotolewa na Shirikisho la Soka Duniani-FIFA kila mwezi. 

Wales kwasasa inajiandaa na mchezo wao wa kufuzu michuano ya Euro 2016 dhidi ya Cyprus utakaofanyika huko Nicosia baadae leo. 

Wales ambayo kwasasa inanolewa a Chris Coleman inashika nafasi ya tisa katika orodha hizo wakati Uingereza wao wako nafasi ya 10.

 Orodha ya mwezi huu ina mabadiliko machache sana huku nchi nyingi zikiendelea kushikilia nafasi zao zilezile walizokuwa mwezi uliopita. 

Tanzania ambao mwezi uliopita waliporomoka mpaka katika nafasi ya 140 wameendelea kuganda hapohapo mwezi huu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox