STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 3 Septemba 2015

WASHAMBULIAJI WA ARSENAL KAZI WANAYO, OZIL ACHARUKA ANADAI LAZIMA AWE MBINAFSI ZAIDI......


KIUNGO mahiri wa Arsenal, Mesut Ozil anaamini anahitaji kuwa mbinafsi zaidi kama anataka kufikia malengo yake ya kunyakuwa tuzo ya Ballon d’Or. 

Washambuliaji Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ndio wamekuwa wakitawala tuzo hizo toka mwaka 2010.

 Ozil amefanikiwa kufunga mabao matano pekee katika mechi 32 alizocheza akiwa na Arsenal msimu uliopita na kocha wake Arsene Wenger amempa changamoto ya kujitahidi zaidi ya hapo msimu huu.

 Akihojiwa Ozil amesema msimu uliopita haukuwa mzuri kwake kwani alikuwa akiandamwa na majeruhi ya mara kwa mara lakini kwasasa hivi yuko fiti. 

Nyota huyo aliendelea kudai kuwa ili aweze kufunga mabao mengi zaidi inabidi awe mbinafsi zaidi na kuwa hatari pindi anapokaribia lango la wapinzani wao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox