STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 3 Septemba 2015

PICHA ZA MASTAA WA SOKA WALIVYOKUWA WADOGO....

    2BE7395000000578-3219385-image-a-6_1441193314787Anthony Martial huyu bado dunia ya soka inajiuliza kwa umri wa miaka 19 aliyokuwa nao lakini kasajii na klabu ya Man United kwa dau la pound milioni 58 pamoja na bonus, ni kitu ambacho hakijazoeleka kwa mchezaji mwenye umri kama wake kusajiliwa kwa dau kubwa kiasi hicho.
1142796-17963199-640-360




  • Kevin De Bruyne jamaa aliwahi kucheza Chelsea bila mafanikio na kuishia kupelekwa kwa mkopo katika vilabu kadhaa na baadae kuuzwa Wolfsburg ya Ujerumani, Lakini sasa amesajiliwa na Man City kwa dau la pound milioni 54 akitokea Wolfsburg na anatajwa kuwa miongoni mwa wachezaji ghali Uingereza.
PAY-Kevin-De-Bruyne-signs-for-Manchester-City
Kevin De Bruyne

BrfLOIdCQAEtxLs


interview-met-jonge-kevin-de-bruyne_100_1000x0


  • Luis Suarez ametokea katika familia ya kimasikini, kuna wakati aliwahi kukiri kuwa alikuwa akicheza mpira peku peku na juani, lakini leo hii ni moja kati ya wachezaji muhimu katika safu ya ushambuliaji ya FC Barcelona na timu yake ya taifa ya Uruguay.
luis-suarez-with-his-golden-shoe-3
article-2099525-11A7E845000005DC-68_306x423
  • Steven Gerrard alianza kucheza soka katika klabu ya Whiston Juniors na baadae maskauti wa Liverpool wakamuona na kumsajili katika Academy yao akiwa na umri wa miaka 9. Amewahi kufanya majaribio katika vilabu kadhaa wakati akiwa na miaka 14 ila haikuwa rahisi kufanikiwa kwa wakati huo, kwa sasa anacheza klabu ya LA Galaxy ya Marekani.
1637644-34750726-1600-900
maxresdefault

241522844_1154a06718_o


  • Thiago Silva na David Luiz walianza kuingia katika headlines kwa uhodari wao katika michuano ya kombe la mabara wakiunda pamoja safu ya ulinzi imara kwa timu yao ya taifa ya Brazil . Hawa walikuwa pamoja na kuota pamoja kuwa wachezaji mahiri, sasa wanacheza pamoja katika klabu ya PSG baada ya kila mmoja kuangaika katika timu mbalimbali.
525953-ad9a1cca-c840-11e4-bdbb-25549bb81a95

David Luiz kushoto na Thiago Silva upande wa kulia

LuizSilva
43

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox