CHELSEA IMEAMBULIA
SARE YA BAO 1-1 IKILAZIMISHA KUSAWAZISHA KUPITIA JEREMIA BOGA KATIKA
DAKIKA YA 84 KATIKA MECHI YAKE YA KIRAFIKI NCHINI AUSTRIA.
MECHI HIYO DHIDI YA AZ PELLETS IMEMALIZIKA HIVI PUNDE IKIWA NI SEHEMU YA RATIBA YA CHELSEA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA.
WACHEZAJI KADHAA
NYOTA KAMA CECS FABREGAS, FERNANDO TORRES NA DIEGO COSTA WALIKUWA BENCHI
WAKATI KOCHA JOSE MOURINHO AKIJARIBU WENGINE WAPYA.
RZ
Pellets: Kofler, Seebacher, Weber, Baldauf, Zulj, Ynclan,
Trdina, Putsche, Standfest, Sollbauer, Drescher.
Scorer: Silvio
de Oliviera 55.
Chelsea: Cech;
Ivanovic, Zouma, Terry, Luis (Ake 60); Van Ginkel (Romeu 60), Matic (Chalobah
81); Salah (Swift 85), Baker (Boga 45), Brown (Christensen 77); Bamford
(Solanke 60).
Unused
substitutes: Beeney, Delac.
Scorer: Jeremie
Boga 84.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni