Jezi
hizo namba 10 zimeuzwa kwenye duka la Real Madrid na imeonyesha kiasi gani raia
huyo wa Colombia anavyokubalika.
Rodriguez
ametua Madrid akitokea AS Monaco huku akiwa ndiye mfungaji bora wa Kombe la
Dunia nchini Brazil baada ya kupachika mabao 6.
Lakini
kinda huyo ndiye alifunga bao kali zaidi katika michuano hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni