STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 19 Julai 2014

LIVERPOOL YAMNUNUA LOIC REMY WA QPR


LIVERPOOL imeripotiwa kufanya ununuzi wake wa 5 kabla Msimu mpya kuanza kwa kumnunua Straika wa QPR Loic Remy.
LOIC_REMYRemy, Mchezaji wa Kimataifa wa France mwenye Miaka 27, Msimu uliopita alikuwa kwa Mkopo huko Newcastle na kufunga Bao 14 katika Mechi 26 za Ligi Kuu England.
QPR wanalazimika kupokea Pauni Milioni 8.5 na kumruhusu Mchezaji huyo aondoke kama Mkataba wake unavyotaka ikiwa Dau hilo litafikiwa.
Awali ilidhaniwa Arsenal watamchukua Mchezaji huyo ambae ameichezea France Mechi 27 na kufunga Bao 5 lakini sasa inelekea Liverpool wamechukua hatua za haraka kukamilisha Uhamisho wake.
Liverpool, chini ya Meneja wao Brendan Rodgers, tayari wameshanunua Wachezaji wanne kwa ajili ya Msimu mpya ambao ni Adam Lallana, Rickie Lambert, Emre Can na Lazar Markovic.
Kutua kwa Remy Liverpool kutaifanya safu yao ya mashambulizi kuwa mpya ikiwajumuisha Ricky Lambert na Daniel Sturridge baada ya kuwapoteza Luis Suarez alieuzwa Barcelona, Iago Aspas aliepelekwa kwa Mkopo huko Sevilla na Fabio Borini alienunuliwa na Sunderland.

BPL-LIGI KUU ENGLAND
RATIBA MECHI ZA UFUNGUZI
**Saa za Bongo
Jumamosi Agosti 16
14:45           Man Utd v Swansea [Old Trafford]
17:00           Leicester v Everton [King Power Stadium]
17:00           QPR v Hull [Loftus Road Stadium]
17:00           Stoke v Aston Villa [Britannia Stadium]
17:00           West Brom v Sunderland [The Hawthorns]
17:00           West Ham v Spurs [Boleyn Ground]
19:30           Arsenal v Crystal Palace [Emirates Stadiu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox