Mwili nyumba akipambana na wachezaji wa Chelsea
MCHEZAJI
kibonge zaidi duniani, Adebayo Akinfenwa, alicheza soka ya kuvutia
timu take AFC Wimbledon ikifungwa kwa tabu na mabao 3-2 Chelsea jana
.
.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32, hakufunga dhidi ya timu hiyo ya Ligi Kuu England, lakini aliganya vitu babu kubwa.
Chelsea
ilinusurika kulala, ikiwa nyuma hadi zikiwa zimebaki dakika
16- kutokana na kazi nzuri ya 'mwili nyumba' au The Beast' Akinfenwa.
Akinfenwa akigombea mpira na Marco van Ginkel wa Chelsea
Hapa anapambana na Oriol Romeu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni