NGULI wa soka wa Italia,
Dino Zoff anaamini Manuel Neuer anastahili kushinda tuzo ya Ballon d’Or
lakini anafikiri kati ya Cristiano Ronaldo au Lionel Messi ndiye
atachukua tuzo hiyo. Jumatatu Shirikisho la Soka la Dunia-FIFA
lilitangaza orodha ya mwisho ya wachezaji watatu watakaogombe tuzo hiyo
huku Neuer ambaye aliisaidia Ujerumani kushinda Kombe la Dunia akitajwa
katika orodha hiyo. Zoff anafananisha kinyang’anyiro cha safari hii na
kile cha miaka 40 iliyopita ambacho yeye alikuwa mshindi wa pili mbele
ya Johan Cruyff aliyenyakuwa tuzi hiyo. Akihojiwa Zoff amesema Neuer ni
kipa bora na anastahili kushinda tuzo hiyo lakini itakuwa ngumu kwake
kutokana na wachezaji aliopambanishwa nao. Nguli huyo mwenye umri wa
miaka 72 ambaye aliwahi kuwa golikipa wa zamani wa Juventus amesema
jambo hilo liliwahi kumtokea yeye mwaka 1973 kwa kupangwa katika orodha
hizo sambamba na Cruyff.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Alhamisi, 4 Desemba 2014
NEUER ANASTAHILI TUZO YA BALLON D'OR DINO ZOFF.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni