KIKUNDI
Maarufu cha wanachama walioasi wa klabu ya Simba, Simba Ukawa, jana
kilikuja na matunguli katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro, Mnyama
akishinda mabao 2-0 na hali hiyo ilisababisha Simba wenyewe kwa wenyewe
wapigane wakipinga imani hizo za kishirikiana.
Matunguli
hayo yaliyokuwa yanatisha kuyatazama yalikamatwa kabla ya mechi na
kuzua tafrani miongoni mwa wadau wa soka waliofurika uwanja wa Jamhuri.
Huu ni muendelezo wa imani za kishirikina katika soka la Bongo.
Wadau wakiwa wameyakamata Matunguli
Mzigo ulikuwa hatari sana wadau
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni