Mshambuliaji wa ghana Christian Atsu ameshinda tuzo ya goli bora la mashindano ya mataifa Afrika yaliyofanyika Guinea ya Ikweta na kumalizika jana tarehe 8.02.2015 kwa Ivory Coast kushinda kwa mikwaju ya penati.
Goli bora zaidi alilofunga Christian Atsu kwenye mechi ya dhidi ya Guinea kwenye hatua ya robo fainali baada ya kumpiga chenga mlinzi wa Guinea upande wa kulia wa uwanja na kuachia shuti kali lililoingia moja kwa moja golini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni