STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 20 Oktoba 2015

FIFA YATANGAZA WACHEZAJI 23 KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA, LA-LIGA NOMA SANA......



Shirikisho la soka duniani (FIFA) limetoa orodha ya wachezaji 23 ambao wanawania tuzo ya mchezaji bora duniani kwa mwaka 2015 (Ballon d’Or)


Wachezaji wote 23 wanacheza soka lao barani Ulaya huku ligi kuu ya Hispania La-Liga ikitoa wachezaji 11, Epl ligi kuu ya Uingereza pamoja na Bundesliga zikitoa wachezaji na ligi kuu ya Ufaransa almarufu kama Ligue 1 pamoja na  Serie A ya nchini Italia zikitoa mchezaji mmoja mmoja.

Kura za mwisho zitapigwa na makocha na manahodha na makocha wa timu za taifa pamoja na maafisa habari wa mashirikisho ya soka na tuzo zitatolewa January 11 2016 kule  Zurich nchini Uswiss.

WACHEZAJI 23 WALIOTANGAZWA NA FIFA:


LA-LIGA:
Javier Mascherano (Barcelona/Argentina)
Lionel Messi (Barcelona/Argentina)
Neymar (Barcelona/Brazil)

Andres Iniesta (Barcelona/Spain)

Ivan Rakitic (Barcelona/Croatia)

Luis Suarez (Barcelona/Uruguay)

Gareth Bale (Real Madrid/Wales)
Karim Benzema (Real Madrid/France)

Toni Kroos (Real Madrid/Germany)


James Rodriguez (Real Madrid/Colombia)
Cristiano Ronaldo (Real Madrid/Portugal)

BUNDESLIGA:

Thomas Muller (Bayern Munich/Germany)
Manuel Neuer (Bayern Munich/Germany)

Arturo Vidal (Bayern Munich/Chile)

Arjen Robben (Bayern Munich/Netherlands)

Robert Lewandowski (Bayern Munich/Poland)

EPL:

Kevin De Bruyne (Manchester City/Belgium)
Sergio Aguero (Manchester City/Argentina)

Yaya Toure (Manchester City/Ivory Coast)
Eden Hazard (Chelsea/Belgium)

Alexis Sanchez (Arsenal/Chile)


SERIE A:

Paul Pogba (Juventus/France)


LIGUE-1:

Zlatan Ibrahimovic (Paris Saint-Germain/Sweden)


ORODHA YA MAKOCHA WANAO WANIA TUZO YA KOCHA BORA:

Massimiliano Allegri (Italy/Juventus)

Carlo Ancelotti (Italy/Real Madrid)

Laurent Blanc (France/Paris Saint-Germain)

Unai Emery (Spain/Sevilla FC)

Pep Guardiola (Spain/FC Bayern Munich)

Luis Enrique Martinez (Spain/FC Barcelona)

Jose Mourinho (Portugal/Chelsea)

Jorge Sampaoli (Argentina/Chilean national team)

Diego Simeone (Argentina/Atletico Madrid)

Arsene Wenger (France/Arsenal)












Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox