STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 19 Novemba 2015

KAZI IPO MESSI AONESHA VIATU MAALUM ATAKAVYOVAA KATIKA MECHI YA ‘EL CLASSICO’..........

messi 2Zimebaki siku mbili tu kabla ya mchezo unaosubiliwa kwa hamu na wapenzi wengi wa soka duniani kupigwa kati ya Real Madrid na Barcelona katika uwanja wa Bernabeu.

Ni kiu ya wadau wengi wa soka hasa mashabiki wa Barcelona kujua kama mshambuliaji wao hatari Lionel Messi atacheza katika pambano hilo.


Messi alionekana juzi katika viwanja vya mazoezi vya klabu ya Barcelona akifanya mazoezi na taarifa za kitabibu toka klabu ya Barcelona zinasema kuwa nyota huyo anaweza kucheza mechi hiyo ingawa ni mapema kuwa na uhakika wa asilimia 100.
Lionel-Messi-3
Lakini Messi mwenyewe anaonekana kuwa tayari kucheza mchezo huo na ameonesha viatu maalum vilivyotengenezwa na kampuni ya Adidas kwa jaili ya mchezo wa ‘EL Classico’ siku ya Jumamosi.
messi 1
Viatu hivyo vimepambwa na rangi nyeusi,kijani na nyekundu.
Messi hajacheza mchezo wowote tangu alipoumia katika mchezo dhidi ya Las Palmas mnamo mwezi wa tisa mwaka huu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox