STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 30 Novemba 2015

KWAHERI BLACK MAMBA,KWAHERI KOBE BRYANT.................

NBA superstar Kobe Bryant has announced he is to retire from basketball at the end of the seasonKobe Bryant , ambaye alisaidia Lakers kushinda mataji  matano ya NBA baada ya kuwa katika NBA kwa zaidi ya miaka  20 ambayo yote ameichezea timu aloipenda daima ya Los Angeles Lakers.
 
Kobe alitangaza Jumapili kwenye tovuti ya Wachezaji ‘kwamba ameamua kustaafu baada ya msimu huu , huku akiandika kwamba ” msimu huu ndio pekee uliobakia kwangu wa kuwapa nilichonacho. ”
 Bryant revealed it would be 'an honor' to play for his third Olympic gold medal in Rio de Janeiro next summer

Kobe aliandika kwa mtindo wa shairi huku akiliita “Dear Basketball” na ndani yake kukiwa na maneno kadhaa ya kugusa moyo wa kila mpenda michezo.
 The basketball icon drives past Pacers forward Paul George during the first half of the NBA clash



Mojawapo ni kauli ya “huu ndio mchezo uliompa   na kumtizimia ndoto mtoto aliyekuwa na umri wa mika 6 (akimaanisha mtotoyeye) tu ya kuchezea Lakers na nitaupenda kwa hilo siku zote.”

” Lakini siwezi kukupenda kwa dhati ile kwa muda mrefu, ” Bryant aliandika. ” Msimu huu ndicho ambacho mimi nimebakiwa nacho ambacho naweza kutoa. Moyo wangu unaweza kabisa kukabiliana na vurugu .

Mawazo yangu yanaweza vyema kushughulikia misuguano  lakini mwili wangu unajua ni wakati wa kusema kwaheri. “Na hiyo ni sawa . Mimi niko tayari ili uondoke uende zako mmpenzi basketball . ”
barua ya Kobe kuhusu kustaafu waliyokuwa wanagawiwa mashabiki mlangoni katika mchezo dhidi ya Pacers
barua ya Kobe kuhusu kustaafu waliyokuwa wanagawiwa mashabiki mlangoni katika mchezo dhidi ya Pacers
Kocha wa Lakers Bryon Scott alisisitiza kuwa Kobe Bryant atacheza mchezo wa Jumapili ambayo itakuwa jumatatu alfajiri kwa Afrika Mashariki.

 Katika taarifa yake Scott alisema ni kweli kuwa Bryant atastaafu lakini sio kwamba hatocheza maana amesema kuwa ni msimu wake wa mwisho na ataucheza kwa nguvu zote ikiwezekana.

 Bryant (pictured with his wife Vanessa earlier this year) was called one of the greatest players of all time by NBA Commissioner Adam Silver following his retirement announcement 
 Bryant na mke wake  Vanessa earlier

“Nadhani yeye bado anaupenda sana mchezo huu ,” Scott aliwaambia waandishi wa habari . 

“Kiukweli  bado ana shauku kubwa kwa ajili yake na kikubwa  bado ni kijana mwenye ushindani wa hali a juu.
 A letter from Bryant to the Lakers fans was displayed before the game against the Indiana Pacers

” Scott alisema alikuwa ” alistushwa ” wakati Bryant anampa taarifa yake Jumamosi usiku kwamba alikuwa anaenda kutangaza kustaafu kwake siku inayofuata.


“Alinistua aliponiletea taarifa hiyo kiasi fulani,” Scott alisema. Pengine nitakuwa mtu ninayesikitika kwa hili kuliko mtu yoyote mwingine au kitu chochote kile. Mtu ambaye nina mapenzi makubwa sana kwake na mtu ambaye nimekuwa nikiheshimu sana uwezo wake.
 The basketball icon drives past Pacers forward Paul George during the first half of the NBA clash
Siku zote huwa ni vigumu sana mtu wa kariba ya Kobe katika mchezo akiamua kutundika kila kitu” Hata hivyo mara kadhaa Kobe alikuwa akinukuliwa kwa kuelezea kuwa alifikiri huu ungeweza kuwa msimu wake wa mwisho.

Na kwa kuzingatia namna alivyoanza msimu kwa kiwango kibovu sio jambo geni sana lakini kwa rekodi, uwezo na jina alilojijengea katika NBA ni wazi kuwa ni taarifa kubwa sana.
 Marc Anthony (left), David Beckham and Bryant meet at a Lakers vs LA Clippers game in 2008

Kobe Bryant ameshinda kila kitu katika NBA. Akicheza kwa miongo miwili yaani miaka 20, ameshinda tuzo ya MVP, kashinda mmedali zadhahabu za Olympic, kashiriki NBA All Star mara 17, ameshinda ubingwa wa NBA mara sita, kashinda tuzo za MVP za All star.
 Bryant holds up the Bill Russell MVP Award and the Larry O'Brien Trophy as he signals his four career championship victories back in 2009

Hakuna alichobakisha au pointi zake 81 alizofunga katika mchezo mmoja. Pia ni mchezaji wa tatu aliyefunga pointi nyingi zaidi katika NBA.
koben
Kamishna wa Ligi kuu  ya kikapuMarekani, Adam Silver naye alitoa maoni yake kwa kusema awe anagombea ubingwa wa NBA, au akiwa katika uwanja tupu wa mazoezi akijaribu kurusha mitupo yake, Kobe Bryant anabaki kuwa mchezaji na mtu mwenye Upendo mkubwa kwa mchezo huu.



Bryant poses with Andres Iniesta and the Barcelona squad during the LA Liga side's 2015 pre-season tourBryant na kikosi cha  Barcelona 2015
 The 37-year-old also revealed that basketball icon Michael Jordan (left) was one of the first people to hear his news during a conversion the pair had during the summer
Michael Jordan (kushoto) na Kobe Bryant

ALICHO KIANDIKA BECKHAM
Manchester United legend David Beckham posted this message to Bryant following his announcement

KOBE BRYANT'S CAREER SO FAR:

Matches played: 1,293
Points scored: 32,683
NBA All-Star selections: 17
All-NBA First Team: 11 
NBA Championships: 5
NBA All-Star game MVP: 4
Olympic gold medals: 2 
NBA Finals MVP: 2
NBA MVP, NBA scoring champion, NBA Slam Duck Contest champion, 81-point game: 1 
LA Lakers all-time leading scorer 
 Bryant walks with his family and ESPN's J.A. Adande after his announcement on Sunday

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox