
Louis
van Gaal na kikosi cha Manchester United baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Leicesetr City katika uwanja wa King Power mchezo ambao walitoka sare ya 1-1.
Walirejea Old Trafford katika hafla ya Unicef ambayo ilifanyika viunga hivyo.
PICHA MBALIMBALI ZA WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED KATIKA HAFLA;

Kiungo wa Manchester United Bastian Schweinsteiger akiwa na mchumba wake Ana Ivanovic

David de Gea na mchumba wake Edurne Garica

Anthony Martial (kushoto) na mke wake Samantha

Morgan Schneiderlin na mchumba wake Camille Sold

Wayne Rooney,kushoto na Michael Carrick

Sergio Romero (kushoto)na mke wake Eliana Guercio

Ander Herrera (kushoto) na mchumba wake Isabel Collado

Juan Mata akiwa na patna wake Evelina Kamph

De Gea na mchumba wake Edurne

Jesse Lingard na mchumba wake Emma Hyde

De Gea na patna wake Garcia waki selfie

Phil Jones na demu wake Kaya Hall


kocha msaidizi wa Manchester united Ryan Giggs

Louis van Gaal na mke wake Truus


United's executive vice-chairman Ed Woodward

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni