STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 19 Novemba 2015

MAJEGWA WA AZAM KUIBUKA KWENYE MAZOEZI YA SIMBA LEO

Brian-Majegwa
Klabu ya Simba inapenda kuwafahamisha kuwa imeridhia ombi la kufanya mazoezi na timu yetu toka kwa mchezaji wa kimataifa wa Uganda Brian Majwega.

Ombi hilo la Majwega limekuja kwetu ili apate kujiweka fit ukizingatia kazi rasmi ya mchezaji huyo ni kucheza mpira wa miguu

Kwa sasa mchezaji huyo ana mgogoro na klabu yake ya zamani timu ya Azam FC ya jijini Dar es salaam

Katika barua yake kwa klabu ya Simba ambayo nakala yake imetumwa shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF. Majwega ameomba kujumuika na timu yetu ukizingatia uwepo wa wachezaji wengine wa kiganda Juuko Murshid na Hamis Kizza

Leo Alhamis tarehe 19-11-2015 Majwega ataanza rasmi mazoezi na klabu yetu chini ya kocha Kerr jijini Dar es salaam

Imetolewa na
Haji S Manara
Mkuu wa mawasiliano
Simba Sports Club

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox