STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 8 Desemba 2015

RATIBA YA MICHUANO KOMBE LA FA..................................

 Arsenal

DROO ya Raundi ya 3 ya Kombe la FA imefanyika ikihusisha timu zote za Ligi Kuu England na timu za ligi ya chini.

Arsenal ambao ndio mabingwa Watetezi watakuwa kwao Emirates kucheza na Sunderland wakati Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu England, Chelsea, watakuwa kwao Stamford Bridge kucheza na Mshindi kati ya Ley-ton Orient na Scun-thorpe United.

Manchester United watakuwa Old Trafford kucheza na Sheffield United wakati Man City watakuwa ugenini ugenini kucheza na Norwich City.

Liverpool watawakabili Exeter City huku Tottenhma wakichuana na vinara wa Ligi Kuu England Leicester City.

Droo kamili:
Arsenal v Sunderland
Birmingham v Bournemouth
Brentford v Chesterfield/Walsall
Bury v Bradford City
Cardiff City v Grimsby/Shrewsbury
Carlisle v Yeovil
Chelsea v Leyton Orient/Scunthorpe
Colchester v Charlton
Doncaster v Stoke City
Eastleigh v Bolton
Everton v Dagenham & Redbridge/Whitehawk
Exeter City v Liverpool
Huddersfield v Reading
Hull City v Brighton
Ipswich v Portsmouth
Leeds United v Rotherham
Manchester United v Sheffield United
Middlesbrough v Burnley
Newport County v Blackburn
Northampton v MK Dons
Norwich v Manchester City
Nottingham Forest v QPR
Oxford United v Swansea
Peterborough v Preston NE
Salford City/Hartlepool v Derby
Sheffield Wednesday v Fulham
Southampton v Crystal Palace
Tottenham v Leicester
Watford v Newcastle
West Bromwich v Bristol City
West Ham v Wolves
Wycombe v Aston Villa
Mechi zitachezwa Januari 8-11

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox