STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 23 Aprili 2016

MCHEZAJI NYOTA WA LIVERPOOL AKUMBWA NA KASHFA NZITO.........


 Sakho, celebrating in front of the Liverpool fans, has become a popular player at the club


Uongozi wa klabu ya Liverpool leo April 23 2016 umetangaza kumsimamisha staa wake ambaye alikuwa anahusishwa kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni.

Mamadou Sakho (centre) looks on from the stands as Liverpool host Newcastle at Anfield on Saturday


Liverpool imeamua kumsimamisha beki wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu hiyo Mamadou Sakho wakati ambao UEFA wanasubiriwa kukamilisha uchunguzi wao.

Sakho ambaye anachunguzwa na UEFA toka March 17 baada ya mchezo wa Europa league kati ya Man United dhidi ya Liverpool Old Trafford, amesimamishwa na Liverpool baada ya kukaa na uongozi na kujadiliana, lakini Mamadou Sakho atakumbana na adhabu kutoka UEFA baada ya uchunguzi wao kukamilika.



 Sakho, challenging Marcus Rashford, tested positive for a substance which aids weight loss following the second leg of their Europa League tie against Manchester United last month


BBC radio 5 inasema kuwa Sakho alipatikana na dawa za kusisimua misuli baada ya mechi ya UEFA kati ya Liverpool dhidi ya Manchester United.

 Baada ya kuchukuliwa sample na kufanyiwa vipimo Mamadou Sakho anaaminika kutumia ‘Fat Burner’ kwa ajili ya kusisimua misuli, kitu ambacho hakikubaliki michezoni.

Sakho aliyesajiliwa kwa pauni milioni 18 kutoka Paris St-Germain mwaka 2013 amecheza mechi 34 msimu huu ikiwemo mechi 10 katika ligi ya Yuropa.


 The Liverpool defender Sakho sprints away in celebration having scored in the Merseyside derby

Alifunga katika ushindi wa Liverpool wa 4-3 dhidi ya Borussia Dormund mnamo tarehe 14 mwezi Aprili na kufuzu katika nusu fainali ya kombe hilo.

Liverpool ambayo ni ya 7 katika jedwali la ligi ya Uingereza inaialika Newcastle siku ya Jumamosi.






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox