Borussia Dortmund imeondoka mkiani baada ya ushindi wa bao 1-0
dhidi ya Hoffenheim.
Huo ni ushindi wa pili kati ya mechi 11 kwa Borussia Dortmund,
hali iliyokuwa imeongeza presha kubwa kwa kikosi hiyo.
Ushindi wa jana ulikuwa muhimu kuamsha upya morali na Kocha Jurgen
Kloop na wachezaji wake walishangilia kwa nguvu sana.
Borussia
Dortmund: Langerak; Piszczek, Subotic, Hummels, Schmelzer; Bender,
Kehl; Aubameyang (Immobile 92), Gundogan (Ginter 91), Mkhitaryan; Ramos
(Grosskreutz 83).
Subs
not used: Weidenfeller, Kagawa, Sahin, Durm.
Goals: Gundogan 17
Hoffenheim: Baumann; Beck, Sule,
Bicakcic, Kim; Polanski, Schwegler (Salihovic 78); Firmino, Rudy (Elyounoussi
78), Volland; Schipplock (Modeste 45).
Subs
not used: Grahl, Abraham, Storbl, Zuber.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni