MENEJA wa klabu ya
Arsenal, Arsene Wenger amehatarisha kuwaudhi zaidi mashabiki wa timu
hiyo baada ya kudai kuwa hatakuwa na haja ya kufanya usajili katika
kipindi cha dirisha dogo Januari mwakani kama wachezaji wote katika
kikosi chake cha sasa watakuwa fiti. Kocha
huyo raia wa Ufaransa amekuwa katika shinikizo kubwa katika wiki za
karibuni baada ya Arsenal kuonekana kushindwa mapema mbio za ubingwa kwa
kukubali kipigo cha mabao 3-2 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Stoke
City. Wenger alishambuliwa na mashabiki wenye hasira katika kituo cha treni wakati akirejea London baada ya mchezo dhidi ya Stoke. Pamoja
na kuwa nyuma ya vinara Chelsea kwa alama 13 Wenger bado bado anaonesha
kutoshtushwa na hali hiyo kwa kudai kuwa hatarajii usajili wa Januari
kuwa pilikapilika kubwa. Wenger amesema kama wachezaji watakuwa fiti na uwezo wa kucheza hadhani kama atahitaji kufanya usajili wa aina yeyote.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Ijumaa, 12 Desemba 2014
Home
/
Unlabelled
/
WENGER AZIDI KUWAKERA MASHABIKI WA ARSENAL KWA KUDAI HANA MPANGO WA KUSAJILI JANUARI.
WENGER AZIDI KUWAKERA MASHABIKI WA ARSENAL KWA KUDAI HANA MPANGO WA KUSAJILI JANUARI.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni