OFISA wa zamani wa
polisi na mshabiki wa Chelsea ameomba radhi kwa kuhusika na tuhuma za
tukio la ubaguzi katika kituo cha treni jijini Paris lakini amedai yeye
sio mbaguzi. Richard Barklie mwenye umri wa miaka 50 alitambuliwa kama
mmoja wa watu ambao wanafanyiwa uchunguzi na polisi. Katika taarifa
yake, Barklie alikanusha kuimba nyimbo za kibaguzi na kudai kuwa alikuwa
akitaka kufafanua kwa polisi jinsi tukio hilo lililovyokuwa. Chelsea
imeshawasimamisha mashabiki watano baada ya picha za video kuonyesha mtu
mwenye asili ya kiafrika akizuiwa kuingia katika treni.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Jumanne, 24 Februari 2015
AOMBA RADHI KUFUATIA SAKATA LA TUHUMA ZA UBAGUZI LA MASHABIKI WA CHELSEA.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni