STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 17 Mei 2015

ALICHOKISEMA KOPUNOVIC BAADA YA KUACHANA NA SIMBA

KOCHA mkuu wa Simba aliyemaliza mkataba, Goran Kopunovic, aliyepo Budapest, Hungary kwa sasa, amesema ataendelea kuwa shabiki wa Simba kokote atakapokwenda na kusisitiza kuwa hakupenda kuondoka klabuni hapo.
 
“Kweli sikupenda, lakini siwezi kulazimisha. Hivyo waambie mashabiki wa Simba nitaendelea kuwapenda sana”. Amesema Kopunovic akikaririwa na SalehJembe na kuongeza: “Simba ilishaingia moyoni mwangu, lakini maisha ya soka yako hivi mara zote,” alisema.

Simba imeamua kusaka kocha mwingine na sasa imetoa nafasi kwa Mbelgiji baada ya kuonekana Kopunovic anataka dau kubwa.

Chanzo, Saleh jembe

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox