STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 21 Aprili 2016

KIKOSI BORA CHA MSIMU LIGI KUU YA UINGEREZA HIKI HAPA,OZIL OUT.............

 

 Zikiwa zimebaki mechi kadhaa kumalizika kwa ligi kuu ya Uingereza chama cha wachezaji wa kulipwa nchini humo PFA kimetangaza kikosi bora cha msimu wa 2015-2016.

Leicester City pamoja na Tottenham wametoa wachezaji wanne kwenye kikosi hicho huku West Ham wakitoa mchezaji mmoja pamoja na Arsenal vilevile Manchester United.
 
WACHEZAJI WALIOCHAGULIWA KATIKA KIKOSI BORA CHA MSIMU WA 2015/2016 LIGI KUU YA UINGEREZA;PFA tweeted their Team of the Year on Thursday but there was no place for Arsenal playmaker Mesut Ozil

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox