Yanga itaivaa na Al Ahly leo Saa 2:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki katika mchezo wa marudiano wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Thaban Kamusoko na Haruna Niyonzima aliyekosa mchezo wa kwanza kutokana kutumikia adhabu ya kadi mbili za njano wamepangwa kwenye nafasi ya kiungo.
Kikosi kamili cha Yanga: Deogratius Munishi, Juma Abdul, Oscar Joshua, Nadir Haroub, Vicent Bossou, , Thaban Kamusoko, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Deus Kaseke, Amissi Tambwe, Donald Ngoma
Akiba: Ally Mustapha, Mbuyu Twite, Kelvin Yondani, Issoufu Boubacar, Salum Telela, Malimi Busungu, Paul Nonga.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni